Anasifia hatua mbalimbali alizochukua tangu awe rais 2015.
1. Ziara za kushtukiza
2. Kusimamia utendaji
3. Kupunguza mshahara wake hadi mil 9
4. Kuongeza bajeti ya afya
5. Ujenzi wa miundombinu mikubwa
6. Kufufua shirika la ndege
7. Njia za kipekee kupambana na covid 19