intimetraveller
Member
- Sep 6, 2012
- 43
- 7
By Hildebert B.Maurice
..Tukiacha kulalamika na tukachapa kazi kama mchwa TUTAWEZA kutoka hapa tulipo. It can be done, just play your part...
Kulalamika ni lazima kwa hali ya sasa ya raslimali za nchi kuliwa na mafisadi na wawekezaji.
Otherwise, Tanzania ni tajiri sana kwa mali asili na ardhi nzuri.
Tanzania ina utajiri mwingi sana kuliko Afrika Kusini, lakini uongozi wetu ni uozo mtupu.
Tanzania ilitakiwa kuwa imeendelea kuliko Afrika Kusini.
lakini ndugu zangu usiseme kwamba watanzania hawafanyi kazi au hawana juhudi. ila juhudi bila maarifa ni kuumiza viungo vyako bure. na maarifa tunayapata wapi? r&d. tunawekeza huko? hapana. kwa nini africa kusini wanatuzidi? wana maarifa na maendeleo yao hayajaletwa na mali asili. vodafone, absa, shoprite, nk siyo mali asili.Kulalamika ni lazima kwa hali ya sasa ya raslimali za nchi kuliwa na mafisadi na wawekezaji.
Otherwise, Tanzania ni tajiri sana kwa mali asili na ardhi nzuri.
Tanzania ina utajiri mwingi sana kuliko Afrika Kusini, lakini uongozi wetu ni uozo mtupu.
Tanzania ilitakiwa kuwa imeendelea kuliko Afrika Kusini.
Ili tupate maendeleo tunahitaji vitu 4:
WATU; ARDHI, SIASA SAFI (read SERA NZURI) NA UONGOZI BORA; sio bora uongozi.
Kwa bahati mbaya Tanzania inavyo viwili tu WATU na ARDHI; ambayo nayo watawala wetu wanatafuta upenyo waiingize katika protocals za jumuia ya afrika mashariki; jambo ambalo litasababisha tupoteze ardhi yetu kabisa.
Sera za CCM; japo nzuri kwenye makabrasha kwa bahati mbaya sana ama hazitekelezeki au hazina viongozi wa kuzitekeleza; wote wamejaa umimi na kutawaliwa na shetani la ufisadi na kujilimbikizia mali tu.
Kwa kuwa tuna BORA UONGOZI badala ya UONGOZI BORA basi Tanzania itaendelea kupiga mark time mpaka hapo umma utakapoamua kufanya maamuzi magumu ya kuitosa serikali ya CCM,
Kulalamika ni lazima kwa hali ya sasa ya raslimali za nchi kuliwa na mafisadi na wawekezaji.
Otherwise, Tanzania ni tajiri sana kwa mali asili na ardhi nzuri.
Tanzania ina utajiri mwingi sana kuliko Afrika Kusini, lakini uongozi wetu ni
uozo mtupu.
Tanzania ilitakiwa kuwa imeendelea kuliko Afrika Kusini.
mimi naona kama hiyo theory ya watu, ardhi, siasa na uongozi haina support. siyo watu tu bali watu wenye maarifa na uwezo kufanya innovation. ardhi ni ka ajili ya kukanyagia na vngine ndiyo havihusiki kabisa. japani na uswisi wana ardhi gani? kwa kuwa wana maarifa ndiyo maana mabilioni yetu yamefichwa huko.
Raslimali ya ardhi ni muhimu sana. Japan pamoja na kuwa na ardhi ndogo, wanaitumia vizuri. Wangepewa ardhi kubwa na nzuri kama ya Tanzania, wangelisha dunia nzima. Wangepewa gas, mafuta, dhahabu, n.k kama Tanzania, wangekua juu zaidi.
Ardhi ya kilimo ya Tanzania inaweza kulisha Afrika nzima. Kwa kilimo tu, tunaweza kupata maendelea makumbwa sana.
Tatizo uongozi mbovu na uliooza kwa kukumbatia rushwa na wizi wa mali za watanzania.
Angalieni mfano wa rsalimali za Congo DRC. Bwawa lao la luzalisha umeme linaloitwa Inga, linauwezo wa kuzalisha umeme wa kutumiwa na Afrika nzima! Lakini uongozi na vita vinakwamisha.
unajua tumekaririshwa sana wanasiasa uchwara. ulishe afrika unafikiri waafrika wengine wmelala? hiyo dhana haisimami.
wanalima tena vinavyofanana na vyetu. hadi sasa tuna oversupply market ndiyo maana bei ya mazao yetu inashuka kila siku. lakini technology mnaimiliki wenyewe na kuiuza dunia nzima bila kuingilia huku mkijipangia bei mnayotaka. ndiyo maana simu moja ya samsung galaxy ina bei ya marobota labda hamsini. hayo mahesabu huyaoni? vile vile mauzo ya samsung kwa mwaka mara mbili ya ya pesa zote zilizomo tanzania kwa sababu anauza technology sisi tunauza njugu.
Mimi bado naona mali asili yetu ndio mkombozi wetu wa kiuchumi.
Mwaka jana tu (2011) Tanzania ilikua inauza mahindi nje ya nchi kwenda Kenya, Zambia, Malawi, Somalia na Sudan Kusini. Hii ilitokea mpaka serikali ikapiga marufuku uuzaji wa mahindi nje ya nchi (hapo nchi zote hizo zilikua zinalima pia)!!
Hapo ni kwa kilimo kidogo tu cha sasa. Kilimo cha ukweli, Afrika nzima yaweza nunua chakula kutoka Tanzania.
Kuna nchi zina ardhi ndogo sana lakini wanalima na kuuza mazao nje kwa wingi sana.
Chukulia nchi kama Israel, ina ardhi ndogo sana, lakini jamaa wanalima na kuuza sana matunda na mboga-mboga kwenda Ulaya ambako pia wanalima hizo hizo mboga na matunda. Imagine jamaa hawa wangepata ardhi kubwa na nzuri kama ya Tanzania!
Nchi kama South Africa wanatuuzia matunda Tanzania!!!!! Wakati nusu ya nchi ya South Africa ni jangwa (Kalahari)!!!
Tanzania tumelala sana. Tuliamka, kilimo peke yake kinaweza kuinua uchumi saana.
Nchi kama Marekani wanalima sana (pamoja na kuwa na viwanda vingi sana).
Bila kilimo, Tanzania imekwisha.
Hebu angalieni ni nchi gani zinaongoza kwa kuuza mazao ya kilimo duniani. (Ni nchi hizo hizo ambazo zimeendelea kiviwanda).
World Top 10 - Agriculture Exporters Countries
[TABLE="class: link_table, align: center"]
[TR]
[TD="width: 40%"]
- Country
- United States
- France
- Netherlands
- Germany
- United Kingdom
- Canada
- Australia
- Italy
- Belgium
- Spain
[/TD]
[TD="width: 60%"]
- In Million Dollars
[*=right]42,826
[*=right]24,262
[*=right]19,780
[*=right]13,842
[*=right]11,613
[*=right]10,107
[*=right]9,824
[*=right]9,446
[*=right]9,013
[*=right]6,621
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
hiyo data uliyoleta karibu inafanana hata na sector nyingine na zaidi ni kwamba kwa sasa wanalima kupata mafuta ya mitambo.
pili ni kwamba utauza magunia mangapi upate maendeleo yanayotakiwa? unahitaji organization ikiwa supported na r&d ili ufanikishe. bila r&d huwezi kuzalisha vinavyotakiwa kiasi na quality inayoridhisha. bila biotechnoligy america wasingeweza
halafu hicho kiwango cha pesa ni kidogo sana ukilinganisha na uchumi mzima wa hizo nchi ulizotaja. kwa mfano uchumi america ni dola trillion 23. kwa mchango wa kilimo wa dolla billion 42 ni kidogo sana. uchumi uliobaki unachangiwa na technology. kwa hoja ni kwamba kilimo hakina deal