can x-lovers be friends?????????

kwaiyo kutaka kusemaje labda apo pa roy sjazaliwa nae tumbo moja?roy asi ni mtakatifu jaman?kwan ana madhara yeyote kwa bnadamu eva?mbona kuntisha bwanawewe?
utanchapa na nini wewe?mintakuchapa kwa maombi tu utashndwa na kulegea mwenyewe!!!!!!!

Hivi Rose ile sheria ya kumkonyeza mwenzio ni kosa la jinai bado ipo, au inatumika kwa wanaume tu pindi wanapokonyeza akina dada?????
 
Hivi Rose ile sheria ya kumkonyeza mwenzio ni kosa la jinai bado ipo, au inatumika kwa wanaume tu pindi wanapokonyeza akina dada?????
ha kwani ivi duniani kuna sheria bacha?
ivi kuna sheria ya makengeza pia?
mi ndo macho yangu...si kilema bali macho yangu ndo yalivyo...we yako yanakodoaje?km butterfly?km kinyonga?km guluguja?
 
Sawasawa ndg yangu !
nimekupata ..ivi wakt mnapandsha bendera wa kucheka cheka alikuwa wap?darasa la pili?

Huyo alikuwa bado kule kwa wagagaga gikoko akihangaika na makamasi na funza miguuni!
 


Duuu,

Mkuu umenikumbusha mbaali sana. Sabuni zenyewe za magwanje na kila kaya ni kipande kimoja kwa mwezi...Kwa hiyo kule home anaitumia baba na wengine tunafua kwa kutumia majani ya mimea fulani!!

Meneja wa duka la kijiji alikuwa anatisha zaidi ya IGP mwema!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…