Can You Break A Broken Heart?

Babu ukiwa hujalamba ule ugoro wako huwa unakuwa na hekima zaidi.

Yaani we acha tu humu leo babu na mjukuu wake teamo wanamwaga mapoint tu humu da!
 
Babu leo uko njema big up naogopa kukubusu nimesikia (bibi atachungulia humu leo)

Hahahaa...ukiona hivyo ujue bibiyo jana kanipa ya mbuzi kagoma (bibi amekula seva BAN ya JF)
 
Yaani we acha tu humu leo babu na mjukuu wake teamo wanamwaga mapoint tu humu da!

Habari ya maty, naona na wewe leo umeamka na upako wa thanks.
 
Hahahaa...ukiona hivyo ujue bibiyo jana kanipa ya mbuzi kagoma (bibi amekula seva BAN ya JF)

kweli naona bibi amefanya kazi yake iliyomtoa kwa babie na mamie vizuri
 
Hapa nina supagluu ya kuungia vipisi vya moyo........am becoming a fundi moyo....

Habari yake fundi moyo, hiyo supagluu isijekuwa ya kichina tu.
 
Habari ya maty, naona na wewe leo umeamka na upako wa thanks.

leo mimi kazi yangu ni kudu the nidifulu tu hawa wapwaz leo wananikoshaje?
 
She is a good counselor kwenye fani ya "kuvunjika moyo"?
she is very in in counseling, generally si broken heart pekee.... she is talented and professionally trained, i appreciate her talents
 
Halafu nina kesi na wewe.....

usijali mpenzi hiyo kesi leo jiono tutaimaliza tu (i love you ukimaliza futa mamito rose na wale wambea wengine wasione lol) uzuri wewe ni ile rangi isiyo break them hatiz
 
Baba Enock anapenda kufahamu kama inawezekana "kuvunja moyo ulokwisha vunjika"?

Hili swali alilipata katika pitapita zake mitaa ya Mbagala akiwa na wadau...

Naomba kuwasilisha...

Ukishakuwa SUGU wa kuvunjwa moyo sidhani kama unakuwa na feelings any more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…