Elections 2010 Can you convince me to vote for CCM?

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Posts
2,874
Reaction score
316
Naomba ndugu zangu mlio CCM mnipe good convincing arguments za kukipa Chama chenu kura yangu kwa miaka 5 ijayo....
Sitaki paragraph nyingi. Ningependa unandike kwa point. mfano:
1. Tumekamata mafisadi
mfano: Luyumba,...
2....
3...
Kwa sababu nimeshindwa KABISA kuona sababu na najaribu kuwa partial!
 
TO BE FAIR.....MIMI NAOMBA CHAMA CHOCHOTE SI CCM PEKEE AMBACHO NITAWEZA KUKIPA KURA YANGU YA PEKEE..HUYU AMEONA NI BORA AIPE CCM ...TAYARI ANA UELEKEO KWANI AMEKOSA WA KUKIFANANISHA NACHO......!kwangu mimi nasema hivi ...ninA KURA MOJA NIMPE MGOMBEA YUPI KWA URAIS,UBUNGE NA UDIWANI...!NIPO KINONDONI,MANZESE...ASANTENI
 
Ili uipigie kura ccm kwanza kabisa uukane ukatoliki kwani juzi kanisani (......)tumeambiwa kuwa maaskofu,mapadri,mashemasin.kwani kanisa katoliki wamepewa amri ya kuwahamasisha waumini wao kumpigia kura Padri muasi Slaa,sasa wewe kama unataka kuipigia kura ccm lazima utoke huko katoliki kwani usipofanya hivyo utakuwa umekiuka maamuzi halali ya kanisa letu RC nawe utaitwa muasi(yaani protestant).
 

unajua mawazo ya kipuuzi kama haya yana madhara yake! Hujui nani anasoma haya mawazo! Ninakwambia wakatoliki wakiamua hamuwezi kuwazuia mjue wameshinda!! Haya wasakameni mpaka waseme wazi kuwa wamechoshwa na uzushi waamue kufanya kweli! Najua mnafikiri kwa kuwasema hivi mna watisha, they are strong to be scared with a wolf! Endeleeni na manemo yenu mpaka watu waseme liwalo na liwe!! Mkumbuke mlivyo taka kuwatoza kodi hawachelewi kutoa tamko! Nafurahi mnavyo wapa munkari! Kwa nini wakatoliki nao wasiamue ili kuondoa hizi speculation!
 

hii ni IQ ya swaum ..!
 

CHAGUE SISIEM IMEONGEZA MFUMKO WA BEI KWA HIYO TUPO JUU KAMA MATAWI...!:mad2:
 

kwani wakiamua kufanya kweli mtawashinda basi?wakatoliki wakatoliki kama mnawapenda sana si mjiunge nao tu....aggrrrrrrrrrrrrr
 
liongo hili lol
 
POLITICIAN, ONE WHO SHAKES YOUR HAND BEFORE ELECTION AND YOUR CONFIDENCE LATER

BY SILENT WHISPER...! hii imetulia
 

Huu ni UPUUZI wa hali ya juu. Wakatoliki hawana ujinga kama huo! Halafu nyie CCM mnapenda sana kuchochea tofauti za kidini. Tuondokeeni hapa. 2010 HATUDANGANYIKI!
 

Mkuu hujabadilisha avator bado?? Unamzalilisha mwenye picha yake. Nimefuatilia mambo mengi unayoandika ni p........a
 
TUHAMUE TUUNGOE UMASIKINI.

Jamani natangaza, kama wakatoliki wakisema leo wanampigia kura Slaa. Mjue na KKT nao pia.

Nasema kweli likitokea hili basi mapinduzi halisi wamekamilika japo ni kwa njia isiyo sahihi sana. Natamani tuungoe umasikini huu. CCM iende zake kupumzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…