Can you explain this.Kenya iTunes top songs~all charts

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari wadau na wapenda buradani.
Unaelezea vipi kuhusu hiii chat ya iTunes~kenya kwa wasanii wetu Wawili.
 
Kenya nao khaaaa yan mpaka leo wanasikiliza mwana.........kolomije tulishausahu huo wimbo
 
Kenya nao khaaaa yan mpaka leo wanasikiliza mwana.........kolomije tulishausahu huo wimbo
Hello ya Adela mbona hujashangaa... Tunapenda kutothamini vitu vyetu pumbafuuuu
 
Iyo mwana mara kibao inakuwa katika top ten ya iTunes.. Ni muda mrefu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…