papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 765
- 503
Tizama video hii na uchangie ila naomba utumie akili zaidi na ustarabu ktk comments zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Equillibrium na hyo weight mkuu ? haya ni maajabu lakiniKuna kitu kinaitwa Equillibrium
Sawa nakubali ni maajabu lakini elewa Equillibrium ni kitendo cha kitu kubalansi sehemu mbili kupitia egemeo la kati la kitu hicho, tuseme kiwiliwili cha huyo mbuzi kimebalansi na sehemu ya kichwa cha huyo mbuzi kupitia miguu yake.Equillibrium na hyo weight mkuu ? haya ni maajabu lakini