Sitaki kuamini hiyo video nahisi kama ni ya kutengeneza, nachelea kuamin sababu ya umri wa uyo mbuzi na inavyoonekana icho kilema ni kama cha kuzaliwa nacho ambapo binadamu sio rahisi kufuga mnyama mwenye ulemavu
Na pia kama alikipata kwenye ajali inakuwa sio rahisi kusurvive kutokana na athali alizopata na kama tunavyojua mnyama akigongwa tunamuwai kumchinja kabla hajafa
Back to the topic.
Kisayansi viumbe tunaishi kwa kuadapt mazingira inawezekana ni adaptation to imetake place
Mfano..kuna dogo mmoja alikuwa ana matatizo ya kutosikia lakini hatukujua mpaka pale tulipompeleka hospital ndipo Dr akatuambia ni totally diff na sisi hatukujua sababu alikuwa ana adapt mazingira na kutumia njia mbadala za kuangalia mdomo wa mtu anayemwongelesha