in rare cases something illegal can be legal.
mifano:
1. kuua mtu ni hatia, lkn mtu akihukumiwa kunyongwa anapouwawa anauwawa kihalali(hakuna hatia)
2. ktk civil case especially traditional marriage, mtoto ambaye ulimpa ujauzito mama yake kabla ya kumuoa anakuwa illegal but U hav chance to legalize him by paying something then he becomes legal child
3. dawa za kulevya ni illegal kuzitumia ww, lkn kwa mtu addicted anapopewa tiba ya kumrudishia hali yake za zaman, daktar anayemtibu huyo mtu ameruhusiwa kumpa hizo dawa huku akimpunguzia doz taratibu taratibu, coz akimsitishia ghafla atakufa, hapo pia illegal becomes legal, e.t.c