Can You Marry A Jobless Man?

There are people who are just hard workers..., give them a plan and they will complete it...., Now you can be the creator/imaginative yaani you find all the projects and plan everything... you just tell him what to do and lay down the plans for him...,you dont give him capital but you invest the capital and he just look after the minor details. After all the investments in Tanzania are just routine and you dont need to be a rocket scientist to manage them...., So even a dumb person you can put him under your wing and manage him so long as he does what he is told..
 
well said LD,
mtoto wa kichaga utamjua tu!

Haha haha haha habari yake bacha bwana!!
Eti bacha can you marry a jobless woman??

If yes Why?? And if no why too?
 

hapo umesema ukweli kabisa...kwa hiyo ile status ya baadhi ya wanawake kuitwa...Mama wa nyumbani'' haifai? maana kuna akina mama wao kazi kupika na kuoga na kusubiri mwanaume alete kila kitu mpaka hela ya ped...this is dangerous...
 
Yes i can but,he should follow my rules.
 
hapo umesema ukweli kabisa...kwa hiyo ile status ya baadhi ya wanawake kuitwa...Mama wa nyumbani'' haifai? maana kuna akina mama wao kazi kupika na kuoga na kusubiri mwanaume alete kila kitu mpaka hela ya ped...this is dangerous...

umama wa nyumbani haufai kabisa. Maisha kusaidiana kwa kweli.
Ila na wewe kama mume unaweza kumfungulia hata biashara.
Akikaa kaa tu idle atanenepa hadi kucha.
 
It depend na mwanamme gani we are talking about..............some of our men are willing to cope but wanakuwa wanaforciwa na wenzao utasikia.......utaishije kwa mwanamke wewe?? utalishwaje na mwanamke??


But for me It doesnt matter whether the guy is employed or not as long as WE LOVE EACH OTHER and there is a source of income at that time..........................I am willing
 
Dinnah: acha uvivu ndio maana nchi inaingia mikataba mibovu wazee hawamalizi kusoma contract agreement yote[/QUOTE]


Watu weupe walishasema mtu mweusi ukitaka kumtia matatani, au kumwibia au kumficha kitu hata kama ni kirahisi kupatikana basi uweke maelezo kwenye maandishi. Wengi wetu hatutaki kutumia hata dk 2 kusoma page 2 tunataka kuwekewa mezani tu na mambo ya short cut. Si hapa tu bongo hata huko majuu wengi wa watu weusi wavivu kusoma maandishi. Nadhani wengi wetu hatuna huruka ya kusoma vitabu, magazeti n.k. Tukisoma ni vichwa vya habari tu. Hata vyuoni tunaandaliwa na notes, summary ndo tunakomaa nazo Ili kufahuru mitihani, Kaazi kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…