Can you name a song which talks about true love, deep feelings of lovers, etc?

Sexual healing, lazima utakugusa - Marvin

2 become 1 - Spice girls
 
Nilitegemea ngoma za HISIA kali WESTLIFE wakidorminate lakini naona watu hawawapi attention BUT for me..
Wale vijana wananafasi kubwa sana kwenye kichwa changu.. Nina zaidi ya nyimbo 80+ na hakuna nyimbo mbaya..zimetulia .
Sio watu wale
 

Attachments

  • Screenshot_20230609-004103_Oto Music.jpg
    70.5 KB · Views: 15
Vijana barubaru-watangoja sana
 
Sumu ya mapenzi na Tafaathari usiwe na hasira
Waimbaji Marquis du Zaire
Fanya kuzisikiliza hizooo
 
Utu - Alikiba ( hii ngoma kwa maoni yangu ndio ngoma kali ya kibongo kwa muda wote)
Just the way you are - Bruno Mars
Just a dream - Nelly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…