Canaco Increases Land Position in Tanzania by 1,200 Square Kilometres

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
20071128-CANACOLOGO.jpg

Apr 06, 2011

Canaco Resources Inc. (TSX VENTURE:CAN) ("Canaco" or "the Company") is pleased to announce it has agreed to acquire nine additional prospecting licenses in Tanzania totalling approximately 1,200 square kilometres.

The properties are strategically located in the Handeni region of eastern Tanzania, location of the Company's Handeni project. Canaco's land holdings in the Handeni region now total approximately 1,300 square kilometres.

President and CEO Andrew Lee Smith said: "These acquisitions build on our strategy to establish and maintain a dominant land position in the Handeni region, which we believe hosts potential to become an important new gold district. The new properties are all located in areas with known prospective geology and the presence of artisanal gold workings."

Consideration for these properties, which were acquired through Canaco's Tanzanian subsidiary, consisted of cash payments and included the issuance of 70,000 common shares. The acquisitions are subject to regulatory approval, and on issuance, the shares will have a four-month hold period.

Canaco discovered the Handeni project in 2009 and since that time has reported results from 125 holes. The Company currently has five rigs drilling on the project and plans to publish an initial resource estimate by the end of 2011.

About Canaco

Canaco is a Vancouver-based mineral exploration company focused on advanced exploration in Africa. Built on a foundation of experienced management and focused on rapidly advancing exploration projects in Tanzania and Ethiopia, Canaco is well positioned to build shareholder value through discovery and resource development.

Canaco's shares trade on the TSX Venture Exchange under the symbol CAN.

On behalf of the Board of Directors:

Andrew Lee Smith, P.Geo, President, CEO and Director

Chanzo: Market Wire
 
1,200 Kilometres or hecta.. Maana najua kutoka Dar mpaka Mbeya ni umbali wa Kilometre 856. Hii imekaaje Mr. Invisible naona mawenge kidogo.
 
Wanachofanya viongozi wa hivi sasa kina tofauti gani na walichofanya akina Sultan Mungungu?
 
square root(1200) kilometers = 34.6410162 kilometers
 
Mkuu nadhani unaangalia LINEAR kilometres, kwa Handeni inawezekana kabisa. Ila inasikitisha kuona Tanzania ardhi inavyochezewa kirahisi hivi...

Wakenya wanahangaika na ardhi, sisi tunawapa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji. Kuna siku hii itasababisha dhahma kubwa
 
Nyerere na Sokoine mizimu yao iko wapi kuwaadhibu mafedhuli na mabaradhuli wanaouza nchi yangu kwa vipande 30 vya fedha?
 
square root(1200) kilometers = 34.6410162 kilometers

mkuu majimshindo .... not necessary inawezekana hilo eneo likatofautiana in Lenght x width, hivyo basi inawezekana ikawa
600km x 2km = 1200 square kilometers or otherwise

anyways thanks
 
1,200 Kilometres or hecta.. Maana najua kutoka Dar mpaka Mbeya ni umbali wa Kilometre 856. Hii imekaaje Mr. Invisible naona mawenge kidogo.

Hii kimahesabu ni sawa na 60km kwa 20km na inawezekana kabisa kwa Handeni
 
mkuu majimshindo .... not necessary inawezekana hilo eneo likatofautiana in Lenght x width, hivyo basi inawezekana ikawa
600km x 2km = 1200 square kilometers or otherwise

anyways thanks

Still square-root remains the same = 34.6410162 kilometers

Besides, hakuna urefu wa KM 600 from any point to any point in Handeni. Kwa hiyo haiwezekani ikawa 600km x 2km.

Nadhani labda tulielewe hilo jambo hizo 1200sqr KM ni jumla ya nine PLs (Prospecting licences), hizo ni leseni za utafutaji wa madini na sio kwamba wamemilikishwa hayo maeneo, hayo maeneo ni bado mali ya serikali na yanalipiwa kila mwisho wa Mwaka na kila quarter (3months), inakupasha kuandika report kwenda serikalini kuelezea umefanya shughuli gani na imefikia kiwango gani cha utafiti na umetumia kiasi gani katika hiyo shughuli yako.

Mara nyingi hizo leseni huwa ni za miaka mitatu na baada ya miaka mitatu nusu ya eneo unarirudisha serikalini, yaani baada ya kufanya utafiti wako kwa muda wa miaka mitatu inakupasa uligawe eneo lako katika sehemu mbili zilizo sawa na unachagua moja la kuretain na lingine la kudrop (ambalo linarudi tena serikalini) kama bado una interest na lile ulilolidrop inakupasa uliombee tena leseni nyingine ya miaka mitatu na linapewa namba nyingine.

Lakini pia kuna uwezekano wa mtu mwingine kuliomba na kupewa, kesi kama hiyo imetokea ndani ya mgodi wa Mwadui kwani baada ya kuligawa hilo eneo na kurirudisha serikalini kuna jamaa wengine (farcon?) Wakaliomba na kupewa hilo eneo na mwisho wa siku watu hao jamaa wakawa katikati ya mgodi wa mwadui

HIYO ARDHI BADO NI YA SERIKALI
 
Of course kila mtu anajua kwamba 'kisheria' ardhi ni mali ya serikali..suala hapa sio hilo. Suala hapa ni hicho kinachokutikana huko ndani ya ardhi au faida ya kipande kile cha ardhi. Tunajua kinacholengwa hapo ni madini, suala linakuja kwamba kuwapa arrangements kama hizi zimeshaleta matunda gani kwa taifa hili SO FAR?

Jibu nadhani lipo wazi.
 
On behalf of the Board of Directors:
Andrew Lee Smith, P.Geo, President, CEO and Director

The person has three positions at a go
 
Wakanada walishaona Tanzania kuwa ni shamba la bibi. Ubalozi wao upo TZ mahususi kwa kuwawezesha watu wao kuja kuiba madini yetu. Mabenki ya kwao huwakopesha mapesa mengi kuja kufanya huo ujambazi wao. Balozi wao huwa anaenda Dodoma nyakati za Bunge kulobby kwa Wabunge akisikia kuna muswada kwa kubadili sheria za madini ili usifanikiwe. Balozi wao aliyemaliza muda wake aliamua kuachakazi na kuanzisha kampuni yake hapa TZ.
Hawa jamaa sijawahi kusikia wakifanya jambo lolote la maana la kimaendeleo hapa TZ kama tunavyoona Wajapani wanatujengea barabara, Wachina wanatujengea uwanja mzuri wa mpira, vyuo n.k. Wakanada ni wanyonyaji kabisa na vile walishaona viongozi wetu wanahongeka kirahisi na kuwasaliti wananchi wao wanapata kiburi zaidi.
 
Kaka nimekugongea SENKSI
 
Mkuu nadhani unaangalia LINEAR kilometres, kwa Handeni inawezekana kabisa. Ila inasikitisha kuona Tanzania ardhi inavyochezewa kirahisi hivi...

Wakenya wanahangaika na ardhi, sisi tunawapa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji. Kuna siku hii itasababisha dhahma kubwa

Nimekusoma mkuu, nadhani uzee nao unachangia nilisoma harakaharaka bila kuona kuwa uliweka square kaka. Tatizo viongozi wa bongo kila mmoja anaangalia tumbo lake. Wanaturithisha tabia mbaya ambayo itakuwa ngumu kuiacha kizazi na kizazi.Tunahitaji kupata kiongozi anayetakiwa avae uso usio na huruma ili kuludisha nidhamu ya utumishi wa umma.
 
Back
Top Bottom