#COVID19 Canada waandamana kupinga chanjo ya lazima ya COVID 19

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Polisi kwenye Mji mkuu wa Canada wamepambana vikali na waandamanaji wanaopinga masharti ya kuchanja chanjo ya covid kwa lazima.

My take

Tuendelee na zoezi la kuchanja kwa hiari,tusilazimishane.

Screenshot_20220207-160014.png
 
Hizi habari za maandamo ya Canada haziripotiwi sana ila ingekuwa Asia au Afrika waandishi wangekuwa wanalala na waandamanaji.

Watawala wana control mainstream media, huu msala ukisambaa inamaana biashara ya chanjo nayo inafikia ukingoni. Huoni hata huku JF wanajificha kwenye kichaka cha kutoa elimu juu ya UVIKO huku lengo ni kuipigia chanjo debe?

Biashara ya wakubwa hii ndo maana mara juzi MaxMelo wametembelewa na balozi wa Marekani mara Sweden. Wanapongezwa na kupewa dili nyingine zaidi.
 
Kweli aisee.
 
Back
Top Bottom