The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hawaripoti kawasababu hawataki hili suala lienee maana watawala wana maslahi naloHizi habari za maandamo ya Canada haziripotiwi sana ila ingekuwa Asia au Afrika waandishi wangekuwa wanalala na waandamanaji.
Hizi habari za maandamo ya Canada haziripotiwi sana ila ingekuwa Asia au Afrika waandishi wangekuwa wanalala na waandamanaji.
Kweli aisee.Watawala wana control mainstream media, huu msala ukisambaa inamaana biashara ya chanjo nayo inafikia ukingoni. Huoni hata huku JF wanajificha kwenye kichaka cha kutoa elimu juu ya UVIKO huku lengo ni kuipigia chanjo debe?
Biashara ya wakubwa hii ndo maana mara juzi MaxMelo wametembelewa na balozi wa Marekani mara Sweden. Wanapongezwa na kupewa dili nyingine zaidi.