Hypershulemia
JF-Expert Member
- May 19, 2021
- 275
- 841
Ndege ya Urusi Antonov An-124 RA-82078 ambayo iliyozuiwa kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Toronto Pearson kwa zaidi ya mwaka mmoja itapelekwa Ukraine.
Ikiendeshwa na Shirika la Ndege la Volga-Dnepr, An-124 iliwasili Canada tarehe 27 Februari 2022 ili kuleta vifaa vya kupima COVID-19 kutoka China.
Baadaye ilizuiwa kwa sababu ya vizuizi vilivyowekwa na Serikali ya Canada kutokana na Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Chanzo: EuroAsian Times
C&P from Aviation Media Tanzania