Last Seen
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 229
- 566
Canal+ yenye makao makuu nchini ufaransa mwanzoni mwa mwaka huu ilituma maombi ya kununua hisa zilizabaki za Multichoice (DSTV na ShowMax) kwa Dollar billion 1.9 na kuwa mmiliki kamili wa kampuni hiyo kinara barani Afrika yenye wateja takribani millioni 22, ikiwa imetapakaa Karibu maeneo yote ya bara la Afrika. Canal + ana wateja wapatao milion 8, na ikiwa kampuni chaguo kwa nchi zinazozungumza lugha ya kifaransa.
Kwa sasa Canal+ ana umiliki wa 35.01% kwa Multichoice. Hapo awali Canal+ walituma ofa ya kuongeza asilimia za umilikiki lakini ilishindikana.
===
Pia soma: Kampuni ya Canal+ yaweka ofa ya Tsh. Trilioni 4.9 kuinunua Multichoice