Canavaro wa Yanga na rekodi ya kipekee Duniani

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Kuna kitu nimekigundua kwa hili jembe(Nadir Haroub Ally "Canavaro")Huyu hamaa anashikilia record ya kua captain wa timu tatu za mpira wa miguu duniani tena kwa wakati mmoja.
Timu hizo ni:
1.Yanga.
2.Zanzibar heros
3.Taifa stars.
Nimejaribu kupitia mitandaoni sijaona mwenye record hizo.
So kwangu mm huyu jamaa ni wa kwanza ktk karne hii ya 21.

Kama sipo sahihi au kama kuna mwingine zaidi yake niambieni.
Naomba kuwasilisha!
 
Attachments

  • images-3.jpeg
    5.5 KB · Views: 1,117
  • images-2.jpeg
    14.1 KB · Views: 1,079
  • images.jpeg
    4.7 KB · Views: 1,762
Hii nadhani inastahili kuingizwa kwenye vitabu vya rekodi duniani, shida ni moja, Zanzibar inatambulika CAF na FIFA?
Hapo ndio shida iliyopo mkuu, zanzibar inatambulika Tiefu efu na CECAFA tu.
 
Hii nadhani inastahili kuingizwa kwenye vitabu vya rekodi duniani, shida ni moja, Zanzibar inatambulika CAF na FIFA?

Hapo tu ndio kikwazo,otherwese anabaki kuwa kwenye record ya kipekee!!
 
Kama ni hivyo, sidhani kama inastahili kuitwa rekodi ya dunia, ya Africa Mashariki sawa.
Ni record ya Dunia bcoz ata ZNZ ipo Duniani mkuu ingawa CAF na FIFA hawaitambui.
 
Kwenye record ya dunia haiwezi kuwepo hata Africa kwa ujumla ila East Africa kiukweli ametisha hata mikia fc wanakubali hili

Hahaha mikia F.C ndio mnyama? hii misamiati imenipita kiasi siku hizi.

Uongo mbaya, Jamaa ametoka mbali, toka enzi ya kuingia na penalty kabla hata ya mchezo mpaka sasa anaaminika sana. Nadhani ni mmoja wa mabeki wenye magoli mengi kwenye mpira wa bongo, sina uhakika.
 
Mikia fc ni Thimba sport club mkuu hii ndiyo habari ya mujini, soma hayo maneno kwa rafudhi ya kihaya
 
Ni record ya Dunia bcoz ata ZNZ ipo Duniani mkuu ingawa CAF na FIFA hawaitambui.

Hahaha, ukisema hivyo watu wataanza kuhesabu mpaka timu za mitaani kwao. Kuna watu wana timu mpaka 5, na ni ma-nahodha kote huko.
 
Huyu anashikilia record gani wakuu?
mie naikumbuka ile ya kuwalaza watu saa 12 jioni!!!
 
Attachments

  • images-4.jpeg
    8.7 KB · Views: 420
Huyu anashikilia record gani wakuu?
mie naikumbuka ile ya kuwalaza watu saa 12 jioni!!!
Huyu jamaa anashikilia record ya mchezaji asiye na nidhamu duniani. Pia record yake kubwa ni mchezaji pekee duniani ambaye hawezi kukaa na timu nyingine zaidi ya mikia fc, ni mchezaji ambaye anafanya lolote kwenye kilabu cha thimba hata akiwatemea mate viongozi wa thimba hawezi kufukuzwa
 
Ni record ya Dunia bcoz ata ZNZ ipo Duniani mkuu ingawa CAF na FIFA hawaitambui.

Kama CAF na FIFA hawaitambui ZNZ basi rekodi hiyo Africa au Duniani haitasomeka maana in the face of CAF and FIFA, hawategemei awepo Captain wa timu ya ZNZ ambayo "haipo"
 
Hii nadhani inastahili kuingizwa kwenye vitabu vya rekodi duniani, shida ni moja, Zanzibar inatambulika CAF na FIFA?

Hapo ndio shida iliyopo mkuu, zanzibar inatambulika Tiefu efu na CECAFA tu.

Ni record ya Dunia bcoz ata ZNZ ipo Duniani mkuu ingawa CAF na FIFA hawaitambui.

Zanzibar inatambuliwa na CAF, ndiyo maana vilabu vya Zanzibar vinashiriki mashindano ya CAF, ni kupitia utambuzi huo wa CAF kwa Zanzibar Ligi ya Muungano ilikufa automatically.

FIFA bado wanasuasua kuitambua Zanzibar; pamoja na yote hayo jamaa anatisha.
 
Kama CAF na FIFA hawaitambui ZNZ basi rekodi hiyo Africa au Duniani haitasomeka maana in the face of CAF and FIFA, hawategemei awepo Captain wa timu ya ZNZ ambayo "haipo"

Ngoja ibaki hivyo hivyo kwa sasa then siku FIFA wakiipitisha inaingia automatically!!!
 
Halafu kweli, hivi Zanzibar heroes huwa inashiriki mashindano ya CAF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…