Cancer(saratani)

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
325
Reaction score
39
Ni matumaini yangu kuwa wanajamii mpo salama na mnaendelea vizuri na kazi zenu za kila siku katika ujenzi wa taifa. Mimi pia nipo salama na nashukuru pia. Ninapenda kuwashirikisha namna ambapo tunaweza kuendelea kufurahia maisha yetu kwa kuepukana na magonjwa sugu yanayotikisa dunia. Tunapozungumzia magonjwa sugu ni kutokana na tafiti zilizofanywa na Shirika la Dunia la Afya na kuweka katika list ya vifo vingi duniani vinavyotokea. Mojawapo ya magonjwa sugu ni Ugonjwa wa moyo, Ugonjwa wa kansa(saratani), Ugonjwa wa kisukari, UKIMWI. Kwa sasa nitatoa elimu namna ya kuweza kupambana na tatizo la cancer.

Tafiti zinaonesha kuwa idadi ya watu duniani million 7.6 walipoteza maisha mwaka 2008 kutokana na cancer. Asilimia 70% ya idadi ikiwa ni katika nchi zilizo na uchumi wa kati na uchumi wa hali ya chini. Cancer ya mapafu(million 1.4, 18.2% ikiwa ni wanaume na wanawake), cancer ya tumbo(laki 7, 9.7% ikiwa ni wanaume na wanawake), cancer ya ini(laki 7, 9.2% ikiwa ni wanaume na wanawake), cancer ya utumbo(laki 6, 8.1% ikiwa ni wanaume na wanawake), cancer ya matiti kwa wanawake(laki 5, 6.1% ikiwa ni wanawake) .Asilimia 30% ya vifo vinaweza kuzuilika.
Cancer huwa mtu anaweza kuiepuka kabisa asiipate katika maisha yake endapo atapata uelewa wa namna inavyowezekana pia kwa wakati mtu akiwa anayo kabla yaijaendelea mtu anaweza kuifanya isiendelee tena na akaweza kuendelea kuishi kwa furaha na kufanya kazi zake kama kawaida. Mfano mtu ambaye ilikuwa augue cancer miaka 2 au hata kumi ijayo na kuendelea anaweza kuizuia kwa kutumia kinga kama GOLDEN HYPHA. Hii ni products nzuri sana kwa ajili hiyo na pia kwa faida nyingine mwilini kiafya. Hii product ni mojawapo wa products muhimu sana zilizoandaliwa kiasilia na kufanyiwa utafiti wa kutosha miaka mingi na kutoonekana kuwa na madhara kiafya.

Fuatilia kwa umakini hizi products nzuri sana kwa ajili ya afya katika mapambano dhidi ya cancer. Uipatapo elimu hii ni muhimu kumwelimisha na mwingine pia.

GOLDEN HYPHA
Bidhaa hii inatokana na uyoga wa njano na uyoga mweupe wa kawaida.
FAIDA ZA GOLDEN HYPHA

  • Inasaidia kujikinga na saratani(kansa)
  • Kuzuia kuenea kwa saratani(kansa) ya mwili
  • Kujenga upya mfumo wa kinga mwilini na kuuimarisha
  • Inaondoa madhara ya baadaye na matibabu ya kansa
  • Inaondoa uvimbe mwilini
  • Inatibu matatizo ya ini
  • Inaongeza ute ute tumboni, puani,machoni na ukeni
  • Kutibu matatizo ya ngozi
  • Kupambana na bacteria na virusi

REISHI

Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

CA + FE + ZI PLUS


  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.

GOLDEN SIX

Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.
Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;

  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.

Utendaji kazi wa Golden six;


  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.

Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.


  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.

Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;


  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX


  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Hypomnesis
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
 

Attachments

  • GOLDEN HYPHA.jpg
    16.2 KB · Views: 79
  • REISHI.jpg
    16.2 KB · Views: 71
  • CA+FE+ZI Plus.jpg
    16.2 KB · Views: 79
  • GOLDEN SIX.jpg
    14 KB · Views: 78
Ukiwa Tabora au sehemu nyingine mikoani unaweza kupata huduma bila tatizo ikiwa mawasiliano yapo. Nitawasiliana na wewe Jacobus.
Japo sifahamu ni lini tutuwasiliana basi naakusubiri kwani wahenga walisema SUBIRA HUVUTA HERI.
 
Mkuu health, ni "kansa" ya aina gani dawa yako inatibu/kukinga?

Sahamani dawa hii inafanyaje kazi hasa katika
1. kukosa usingizi
2. kusafisha damu
3. Ukomo wa hedhi

Pia ninaomba msaada kati ya tofauti ya hypomnesis na kupoteza kumbukumbu, (kama kazi ya Golden Six)
 
Last edited by a moderator:

Maswali haya ni ya msingi sana mkuu hippocratessocrates, ngoja tusubiri majibu. Wala sijaona evidence based medicine kwenye hii dawa
 
Last edited by a moderator:
Japo sifahamu ni lini tutuwasiliana basi naakusubiri kwani wahenga walisema SUBIRA HUVUTA HERI.
Namba yako imewekwa hapo Jacobus tutawasiliana na wewe muda muafaka na kuweza kupata taarifa zozote kutoka kwako.
 
Japo sifahamu ni lini tutuwasiliana basi naakusubiri kwani wahenga walisema SUBIRA HUVUTA HERI.

Nimekuwa nikikutafuta hewani bila mafanikio Mr. Sijajua kama kuna tatizo lolote kwa hiyo namba yako
 
Nimekuwa nikikutafuta hewani bila mafanikio Mr. Sijajua kama kuna tatizo lolote kwa hiyo namba yako
Wachina hao ndani ya TTCL, toka niinunue simu hii charging ni matatizo mno, naicharge kila baada ya siku moja. Samahani kwa hilo ambalo lipo nje ya uwezo wangu.
 

Hiyo ni kinga kwa cancer yoyote mwilini.
 
Hiyo ni kinga kwa cancer yoyote mwilini.

Mkuu dont you think that is cheap answer?!..as in nimeuliza maswali kadhaa na kujibiwa 'simply' kuwa ni kinga ya cancer yeyote?!..Au saratani ni nini?

Maana mfano Endometrial na Breast na Cervical cancer unaona kuna uhusiano hapo? UPI?
 
Mkuu dont you think that is cheap answer?!..as in nimeuliza maswali kadhaa na kujibiwa 'simply' kuwa ni kinga ya cancer yeyote?!..Au saratani ni nini?

Maana mfano Endometrial na Breast na Cervical cancer unaona kuna uhusiano hapo? UPI?

Utumiapo GOLDEN HYPHA ni nzuri sana na ni kinga dhidi ya cancer aina yoyote
 
Come to my office for more education. You always needs to be in a classroom if the issue isn't clear to you

Ndugu, if you just cant give explanation(medical/evidence based) about your product but keep relying on CHEAP answers, do you expect to have/obtain customers?? ..moreover do you HONESTLY believe i/someone can spare time to meet you at your "office"??

Jifunze matumizi ya ALWAYS katika sentesi na acha KUCHEZEA afya za watu..mkuu.
 
Tupe maelekezo Namna gani ya kufika ofisin kwako
 

Mkuu hippocratessocrates,hawa ni wagavi illitrate wa madawa wasiyo yajua!
Yanasambazwa na kampuni za mifukoni za huko USA,na hukusanywa,na kupewa semina fupi juu ya madawa halafu huingia mitaani na kuanza kuyanadi!
Ukiwauliza maswali rahisi tu kama composition ya madawa,magonjwa inayo tibu, side effects nk wataishia kukwambia "inatibu tumbo","inatibu kansa","inatibu kichwa" na kadhalika,yaani kirahisi rahisi tu!!
Kiufupi mie siwaamini kabisa!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umeongea kweli hata mie nimeishakutana nao saana hawa watu mitaani.
Wao wamepewa kazi ya kuuza tu na elimu hawana juu ya walitendalo.
Huwa nashangaa hawapo serious kabisa wakizingatia wanadeal na afya ya binadamu moja kwa moja.
Kingine hizi bidhaa zao ni za msimu tu baada ya muda hupotea na kuja product nyingine kwa jina jingine.
Wananchi wajiangalie saana kwenye haya mambo wasichukulie kirahisi rahisi tu.
Mtu wa maana ni yule anaekuelekeza aina ya chakula unachotakiwa kula na sio hizo dawa/food supplement zao.
 
Last edited by a moderator:

Come to my office as others. The point is to help others and 'm not searching for customers.
 

Mjinga huwa hata akipewa elimu anakuwa hana uwezo wa kung'amua. Yeyote mwenye kupenda kuelewa kuhusu na maswali hayo unayouliza njoo ofisini kama wanavyokuja wengine. 0776491294
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…