Mmexico anayeaminika kuwa ni no1 pound-4-pound duniani kwa sasa leo atapanda ulingoni kutwangana na Kovalev; bingwa anayeshikilia mkanda wa WBO kwenye uzito wa Light Heavyweight. Endapo Canelo atafanikiwa kushinda pambano hili anatazamiwa kujivunia heshima kubwa sana kwenye boxing kwani...