Canelo kutwangana na Kovalev usiku huu

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Mmexico anayeaminika kuwa ni no1 pound-4-pound duniani kwa sasa leo atapanda ulingoni kutwangana na Kovalev; bingwa anayeshikilia mkanda wa WBO kwenye uzito wa Light Heavyweight. Endapo Canelo atafanikiwa kushinda pambano hili anatazamiwa kujivunia heshima kubwa sana kwenye boxing kwani amelazimika kupanda uzito kutoka uzito wake halisi 'middleweight' kwenda kwenye 'light heavyweight' ili kumchalenji bingwa huyo, kitu ambacho kimeonekana ni uthubutu wa hali ya juu 'risky'.
 
Pia kwa wapenzi wa UFC leo tutashuhudia pambano kubwa kati ya Jorge Masvidal na Nate Diaz, pambano hili litamalizika dakika chake kabla ya pambano na kina Canelo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…