Cannelloni pamoja na nyama ya kusaga

Saaaana, kupungua unene kunakuwa kugumu
Bonge..., usijaali hiyo !! chukuwa chpa ya maji safi tumbukiza vipande vya limau ya njano zidisha vipange safi vya tangawizi zidisha majani ya mnaa'na'a!! kilsiku kunywa alfajiri mchana na usiku......"Hapa kazi tu"
au jagi
 
Hapo safi mkuu, umekuwa msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…