Jangakuu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 513
- 221
Jamani nina Mwanangu, nataka kumpeleka Cannosa High School. Please naomba anayeifahamu hii Shule
anipe taarifa zake Kuhusu A-level .
Je wanatoa masomo ya Science A-level? , mwanangu anataka kuchukua mchepuo wa PCB
Je kwa A-level inakuwaga ya ngapi kitaifa?(kwa O-level imefanya vizuri mwaka huu), lakini je Kwa A-level?
Naomba Munisaidie Jamani.
Taarifa nilizokuwa nazo ni kwamba hii shule ipo Dar es salaam. Maeneo ya Tegeta NYUKI.
kwa form 4 imefanya vizuri na imetoa mwanafunzi wa Top 10.
Nataka kumsaidia mwanangu amefanya vizuri form 4. kwenye shule za Kata amepata GPA. ya 4.0. upande wa PCB amepata A, B+, B+ (A ya BIOLOGY). Ningependa A-level Asome kwenye Mazingira Kidogo mazuri.
Naombeni Msaada wenu.