enterprenuer 1974
Member
- Oct 13, 2018
- 58
- 31
wakuu habari ya asubuhi, napenda mtu mwenye nia ya kufanya kilimo Cha canola tuwasiliane.
Nimekaa nikatafakari nikaona canola inaweza kuwa mbadala wa alizeti sehemu ambazo alizeti haifanyi vizuri canola inakubali vizuri.
Mafuta ya canola ni mazuri Sana , kilo 3 za canola unapata lita moja na majani yake ni mboga na pia kuna mashudu ambayo ni chakula cha mifugo.
Mwenye nia tuwasiliane mbegu ninazo hii hii ni fursa ambayo inatakiwa tuichangamkie wote