enterprenuer 1974
Member
- Oct 13, 2018
- 58
- 31
Kwahiyo wawasiliane nawewe kwaajili yanini hasa?wakuu habari ya asubuhi, napenda mtu mwenye nia ya kufanya kilimo Cha canola tuwasiliane.
Nimekaa nikatafakari nikaona canola inaweza kuwa mbadala wa alizeti sehemu ambazo alizeti haifanyi vizuri canola inakubali vizuri.
Mafuta ya canola ni mazuri Sana , kilo 3 za canola unapata lita moja na majani yake ni mboga na pia kuna mashudu ambayo ni chakula cha mifugo.
Mwenye nia tuwasiliane mbegu ninazo hii hii ni fursa ambayo inatakiwa tuichangamkie wote
Inalimwa sana South Africa lakin kuwen mkini mbegu nyingi ni GMOInakua kwa miezi 3 na hailiwi na ndege.View attachment 935861
Nimetoka kusoma sasa hivi. I'm scared.Mimi mwanzoni wa miaka ya 2000 nilihisi Canola Oil ni bora kuliko Sunflower oil na nikawa natumia sana nyumbani kwangu mpaka nilipogundua asili yake ndio ikawa mwisho sitaki hata kuyataja hilo.jina. Do not take my words for it, just google and find out for yourself! Haya mafuta asili yake ni ya kuendeshea tractors lakini Canada wameya modify for human use hence called Canola. The first three laters stand for Canadian...