CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wanunuaji walisha chukua mbona kitambo sana? haihitajiki sayansi ya kuunda Rocket kujua wanunuaji,Sidhani Kama Kuna biashara hapa. Kama ipo basi anachagua wateja.
Wanunuaji walisha chukua, na siku zote wanunuaji utawajua na hawana time hata ya ku coment,We bana usije kutuuzia ulezi? Ni breed gani ya canola?
Imeisha mkuu ilikuwa ni kilo 80 tu za kuuzwa na zisha chukuliwa zote,Hebu tupe maelezo vizuri
Usijali mkuu, nilishapata hapo Namanga kwa wakenya. Ila upo slow Sana na handling ya wateja wako ipo chini Sana.Wanunuaji walisha chukua mbona kitambo sana? haihitajiki sayansi ya kuunda Rocket kujua wanunuaji,
Uliuziwa pesa ngapi nduguUsijali mkuu, nilishapata hapo Namanga kwa wakenya. Ila upo slow Sana na handling ya wateja wako ipo chini Sana.
20k/kg boss.Uliuziwa pesa ngapi ndugu