Canon 18mm-55m lens inauzwa

Canon 18mm-55m lens inauzwa

Biashara2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
649
Reaction score
547
Habari zenu

Canon zoom lens 18mm-55mm lens f3.5-5.6 Inauzwa. Ni mpya haijatumika maana kwenye kamera yangu baada ya kununua nili switch kwenda kwenye prime lens

Bei sh 250,000.

Hii inatumika kupiga picha na kushuti video. Inakaa kwenye camera canon 500D,550D, 600D Hadi 800D. Hata kwenye Nikon pia inafit kama ilivyo bila kutumia adaptor.

images (3) (8).jpeg


0758308193
 
Unaweza ingia youtube ukaandika mfano canon 550D na jina la hiyo lens ili uone ubora wa video inavyotoa
 
Hauna camera uniuzie maana nataka nianze mwaka mpya na biashara ya ku shoot video za sherehe mbalombali kama harusi na birthday parties?
 
Hauna camera uniuzie maana nataka nianze mwaka mpya na biashara ya ku shoot video za sherehe mbalombali kama harusi na birthday parties?

Ipo canon T2i ikiwa na lens take Tsh 680,000 unapata battery charger na battery 2 ambazo zitakusaidia wakati unashoot video battery 1 ikiisha chaji, wakati unaichaji ingine inakusaidia kuendelea na shooting

download (5) (23).jpeg
 
Back
Top Bottom