Canon zoom lens 18mm-55mm lens f3.5-5.6 Inauzwa. Ni mpya haijatumika maana kwenye kamera yangu baada ya kununua nili switch kwenda kwenye prime lens
Bei sh 250,000.
Hii inatumika kupiga picha na kushuti video. Inakaa kwenye camera canon 500D,550D, 600D Hadi 800D. Hata kwenye Nikon pia inafit kama ilivyo bila kutumia adaptor.
Ipo canon T2i ikiwa na lens take Tsh 680,000 unapata battery charger na battery 2 ambazo zitakusaidia wakati unashoot video battery 1 ikiisha chaji, wakati unaichaji ingine inakusaidia kuendelea na shooting