S Sam1996 Member Joined Jun 14, 2024 Posts 9 Reaction score 7 Aug 19, 2024 #1 Wadau, naomba kufaham ni driver zipi zinatumika kwenye hio mashine hapo juu ukiwa unatumia usb cable. OS-window 10 [64 bit] maana nimejaribu PCL6 na UFR II nainstall kila zikifika mwisho inaleta usb not recognized
Wadau, naomba kufaham ni driver zipi zinatumika kwenye hio mashine hapo juu ukiwa unatumia usb cable. OS-window 10 [64 bit] maana nimejaribu PCL6 na UFR II nainstall kila zikifika mwisho inaleta usb not recognized