Habari
Nauza kamera tajwa hapo juu. Iko katika very good condition. Nilikuwa naitumia kushuti video za kitchen parties nilizokuwa naandaa. Haijatumika muda mrefu nimenunua ya juu yake ambayo ina flip screen, kwahiyo hii nayoiuza Sina matumizi nayo. Bei sh. 680,000. Inakuja na:
-Lens hood kuzuia mwanga wa jua kugonga lens ya camera
-USB wire kwa ajili ya kuunganiaha kwenye PC
-Mkanda wa kubebea
-kifaa Cha kuchajia betry
-Cover ya lens ya kamera
-Lens yake ni 18mm-55mm
Betry 2. Ukiwa unatumia 1 ingine unachaji. Kama unashuti video tukio la muda mrefu unaweza cover vizuri shoot Yako. Ukitaka zingine kariakoo wanauza betry sh 50,000
Angalia YouTube video za hii camera kujua ubora wake wa video ikiwa na kit lens yake
0769308197