Mchana Senior Member Joined Sep 27, 2007 Posts 183 Reaction score 16 Feb 16, 2016 #1 Wakuu heshima yenu. Tafadhali naomba kama kuna mtu anajua mtu anayeuza Mitsubish Canter tani 2 anijulishe. Ni zile zinazotumiwa sana na wenye site za kufyatulia matofali, wauzaji wa maji nk. Na mara nyingi ni za rangi ya Blue
Wakuu heshima yenu. Tafadhali naomba kama kuna mtu anajua mtu anayeuza Mitsubish Canter tani 2 anijulishe. Ni zile zinazotumiwa sana na wenye site za kufyatulia matofali, wauzaji wa maji nk. Na mara nyingi ni za rangi ya Blue
B big agent Member Joined Feb 20, 2016 Posts 22 Reaction score 3 Feb 22, 2016 #2 Mie ninayo nicheck hapa 0768359292,bei 27m