Wadau habar za asubuhi, Mimi ni kijana Nina miaka 23, nimenunua canter ya ton 3.5 Je unaweza kufanya shughuli gani ya kudumu tofauti na deiwaka, nipo Kigamboni, Dar-es-salaam! Naombeni ushauri
Mkuu kama uko sehemu yenye shida ya maji nakushauri ununue yale matank ya maji yale ya 1000ltrsikinunu tank 3 zinaenea hapo kwenye bord ya gari uza maji mtaani utapata hela!!!Wadau habar za asubuhi, Mimi ni kijana Nina miaka 23, nimenunua canter ya ton 3.5 Je unaweza kufanya shughuli gani ya kudumu tofauti na deiwaka, nipo Kigamboni, Dar-es-salaam! Naombeni ushauri
Ahsante sana mkuu nitazingatia ushaur wako, ngoja nifanye utafiti kidogoMkuu kama uko sehemu yenye shida ya maji nakushauri ununue yale matank ya maji yale ya 1000ltrsikinunu tank 3 zinaenea hapo kwenye bord ya gari uza maji mtaani utapata hela!!!
Ilitakiwa ifanye kazi ya kuchukua bidhaa viwandani kuleta madukani lakn mtaji wetu umeyumba kdgKwani wakati unainunua ulikua unawaza kuifanyia nini?
Ebu tuanzie hapo kwanza