B BRB JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 342 Reaction score 818 Oct 31, 2023 #1 Mwaka wa kutengenezwa 1997 Aina ya Injini 4D35 Uwezo wa Injini 4,210cc Uwezo wa gari Tani 2 Manual transmission Umbali uliotembewa 149,000 km ACCESSORIES AC Power Window Power Steering Bei Tshs. 51,000,000 (negotiable) Mawasiliano 0752 484 225 Mahali: MWANZA NB. HAKUNA DALALI
Mwaka wa kutengenezwa 1997 Aina ya Injini 4D35 Uwezo wa Injini 4,210cc Uwezo wa gari Tani 2 Manual transmission Umbali uliotembewa 149,000 km ACCESSORIES AC Power Window Power Steering Bei Tshs. 51,000,000 (negotiable) Mawasiliano 0752 484 225 Mahali: MWANZA NB. HAKUNA DALALI
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Nov 1, 2023 #2 Hii gari ukiuza kwa bei hiyo, basi mshukuru Mungu. Maana kwa bei hiyo mtu akitulia anaweza kupata Fuso Tipper iliyo katika hali nzuri.
Hii gari ukiuza kwa bei hiyo, basi mshukuru Mungu. Maana kwa bei hiyo mtu akitulia anaweza kupata Fuso Tipper iliyo katika hali nzuri.
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 4,385 Reaction score 6,443 Nov 1, 2023 #3 Milion 51 na ni new model
Feld Marshal Tantawi JF-Expert Member Joined Dec 24, 2014 Posts 655 Reaction score 1,069 Nov 1, 2023 #4 Mnachihanguuu said: Milion 51 na ni new model Click to expand... πππππππ