CANTER YANGU IMEKOSA KAZI

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
626
Habari ya muda huu wakuu,
Ni jumatatu nyingine ya kuanza pirika pirika ya kutafuta riziki ili kupambana na maisha bila kuchoka.

Niende kwenye mada husika bila kupoteza muda, hapa home kuna Canter imekosa kazi sasa ni mwezi wa tatu hakika naumizwa ninapoiona imekaa chini haiingizi hata shilingi kwa siku.

Canter haina tatizo lolote, labda yawe madogo madogo kutokana na kukaa chini muda mrefu, huwa tunaifanyia tu shughuli za nyumbani kubeba baadhi ya vimizigo inapobidi.

Kwa yoyote mwenye uhitaji wa kufanya nayo kazi kwa mkataba maalumu na makubaliano, awe mtu binafsi au kampuni tafadhali tuwasiliane kwa namba 0718163132.

Kama una swali lolote juu ya hii gari unaweza kuuliza hapa hapa na nitakujibu

N.B
Location: Dar es salaam, Kimara mwisho (kwa makampuni mtapewa kipaumbele zaidi)

Ahsanteni..,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali ina bodi ya aina gani maana namaanisha naitaji nibebee machupa ya uhai na prastic ,uwe tayari kama body ndogo kuiongeza ,dereva awe wako maana asimamie gari vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…