Capacity katika selection ya vyuo vya afya

lendanai

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
375
Reaction score
280
habarini ndugu,naombeni tusaidiane hapa,kwenye application za vyuo vya afya mwaka huu wameweka capacity ya 25 kwa diploma na 45 kwa cheti,swali je hizi nafasi zitaongezeka baadaye au ndio basis tena!?,msaada wenu ni muhimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…