Cape Town Yatajwa kama mji namba 1 kwa ubora Duniani kutembelea mwaka 2025

Cape Town Yatajwa kama mji namba 1 kwa ubora Duniani kutembelea mwaka 2025

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Mwaka 2025 kama una mpango wa kusafiri nje ya nchi na kusafisha macho basi Cape Town imetajwa kama mji namba 1 kwa ubora kutembelea 2025.

Jarida maarufu la Time Out limeorodhesha miji 50 bora zaidi ya kutembelea kwa mpangilio wa ubora, Cape Town imeshika namba 1, Dubai 24.

Unaweza kusoma orodha hiyo hapa.

Time Out’s 50 best cities in the world in 2025​

  1. Cape Town, South Africa
  2. Bangkok, Thailand
  3. New York, US
  4. Melbourne, Australia
  5. London, UK
  6. New Orleans, US
  7. Mexico City, Mexico
  8. Porto, Portugal
  9. Shanghai, China
  10. Copenhagen, Denmark
  11. Chicago, US
  12. Lisbon, Portugal
  13. Edinburgh, UK
  14. Hong Kong
  15. Sydney, Australia
  16. Amsterdam, Netherlands
  17. Barcelona, Spain
  18. Seville, Spain
  19. Paris, France
  20. Medellín, Colombia
  21. Hanoi, Vietnam
  22. Madrid, Spain
  23. Berlin, Germany
  24. Dubai, UAE
  25. Singapore
  26. Rio de Janeiro, Brazil
  27. Beijing, China
  28. Chiang Mai, Thailand
  29. Jakarta, Indonesia
  30. Vienna, Austria
  31. Tokyo, Japan
  32. Marrakech, Morocco
  33. Perth, Australia
  34. Brighton, UK
  35. Prague, Czech Republic
  36. Glasgow, UK
  37. Brisbane, Australia
  38. Marseille, France
  39. Budapest, Hungary
  40. Los Angeles, US
  41. Lagos, Nigeria
  42. Seoul, South Korea
  43. Valencia, Spain
  44. Montreal, Canada
  45. Bilbao, Spain
  46. Abu Dhabi, UAE
  47. Belfast, UK
  48. Bristol, UK
  49. Mumbai, India
  50. Warsaw, Poland
 
Mwaka 2025 kama una mpango wa kusafiri nje ya nchi na kusafisha macho basi Cape Town imetajwa kama mji namba 1 kwa ubora kutembelea 2025.

Jarida maarufu la Time Out limeorodhesha miji 50 bora zaidi ya kutembelea kwa mpangilio wa ubora, Cape Town imeshika namba 1, Dubai 24.

Unaweza kusoma orodha hiyo hapa.

Time Out’s 50 best cities in the world in 2025​

  1. Cape Town, South Africa
  2. Bangkok, Thailand
  3. New York, US
  4. Melbourne, Australia
  5. London, UK
  6. New Orleans, US
  7. Mexico City, Mexico
  8. Porto, Portugal
  9. Shanghai, China
  10. Copenhagen, Denmark
  11. Chicago, US
  12. Lisbon, Portugal
  13. Edinburgh, UK
  14. Hong Kong
  15. Sydney, Australia
  16. Amsterdam, Netherlands
  17. Barcelona, Spain
  18. Seville, Spain
  19. Paris, France
  20. Medellín, Colombia
  21. Hanoi, Vietnam
  22. Madrid, Spain
  23. Berlin, Germany
  24. Dubai, UAE
  25. Singapore
  26. Rio de Janeiro, Brazil
  27. Beijing, China
  28. Chiang Mai, Thailand
  29. Jakarta, Indonesia
  30. Vienna, Austria
  31. Tokyo, Japan
  32. Marrakech, Morocco
  33. Perth, Australia
  34. Brighton, UK
  35. Prague, Czech Republic
  36. Glasgow, UK
  37. Brisbane, Australia
  38. Marseille, France
  39. Budapest, Hungary
  40. Los Angeles, US
  41. Lagos, Nigeria
  42. Seoul, South Korea
  43. Valencia, Spain
  44. Montreal, Canada
  45. Bilbao, Spain
  46. Abu Dhabi, UAE
  47. Belfast, UK
  48. Bristol, UK
  49. Mumbai, India
  50. Warsaw, Poland
51. Mbeya
 
Ni pazuri sana cape town ila usalama sio sana na hii ni kwa SA yote
 
Century City is my place to stay, every time I visit The City of Table Mountain
 
Joburg sio mji wa kuishi binadamu.

Mwaka jana nilifikia hotel moja maeneo ya Boksburg, 5 star hotel lakini mtu akapigwa risasi nje ya geti la hotel tu hapo kuna shopping mall mchana kweupe.
Jo burg pale sio kabisa park station niliingia niliingia toilet nikalazimishwa kununua kete
Ule mji sio kabisa
 
Mwaka 2025 kama una mpango wa kusafiri nje ya nchi na kusafisha macho basi Cape Town imetajwa kama mji namba 1 kwa ubora kutembelea 2025.

Jarida maarufu la Time Out limeorodhesha miji 50 bora zaidi ya kutembelea kwa mpangilio wa ubora, Cape Town imeshika namba 1, Dubai 24.

Unaweza kusoma orodha hiyo hapa.

Time Out’s 50 best cities in the world in 2025​

  1. Cape Town, South Africa
  2. Bangkok, Thailand
  3. New York, US
  4. Melbourne, Australia
  5. London, UK
  6. New Orleans, US
  7. Mexico City, Mexico
  8. Porto, Portugal
  9. Shanghai, China
  10. Copenhagen, Denmark
  11. Chicago, US
  12. Lisbon, Portugal
  13. Edinburgh, UK
  14. Hong Kong
  15. Sydney, Australia
  16. Amsterdam, Netherlands
  17. Barcelona, Spain
  18. Seville, Spain
  19. Paris, France
  20. Medellín, Colombia
  21. Hanoi, Vietnam
  22. Madrid, Spain
  23. Berlin, Germany
  24. Dubai, UAE
  25. Singapore
  26. Rio de Janeiro, Brazil
  27. Beijing, China
  28. Chiang Mai, Thailand
  29. Jakarta, Indonesia
  30. Vienna, Austria
  31. Tokyo, Japan
  32. Marrakech, Morocco
  33. Perth, Australia
  34. Brighton, UK
  35. Prague, Czech Republic
  36. Glasgow, UK
  37. Brisbane, Australia
  38. Marseille, France
  39. Budapest, Hungary
  40. Los Angeles, US
  41. Lagos, Nigeria
  42. Seoul, South Korea
  43. Valencia, Spain
  44. Montreal, Canada
  45. Bilbao, Spain
  46. Abu Dhabi, UAE
  47. Belfast, UK
  48. Bristol, UK
  49. Mumbai, India
  50. Warsaw, Poland
Cape Town ni Mji Msafi, Mdogo na wenye mpangilio mzuri sana. Kuhusu usalama naona ni wa kawaida tu. Nakumbuka mwaka 2018 nilienda hapo Cape Town, walikuwa wanawajengea apartments Waafrika wanaoishi kwenye squatter hapo mjini. Nilipouliza kwa mwenyeji wangu kwa nini wanabomoa Squatter hizo alinijibu zinaleta taswira mbaya ya mji. Changamoto kubwa iliyopo katika mji huo ni uhaba wa maji.
 
Jichanganye South africa yote haifai
Sio kweli, Johannesburg ndio sio mji salama ila miji mingine iko poa, nikimaanisha crime rate ni ya kawaida tu kama ya miji mingine Duniani. Bahati nzuri nimetembelea miji ya Cape Town, Durban, Port Elizabeth, Johannesburg, Pretoria, East London na kujichanganya na locals na kujua, mji ambao hua nikifika napewa onyo na kila mtu kwa usalama wangu ni Johannesburg.
 
Cape town waliondoa uhai wa baba angu kipenzi wale watu nataman mungu awape pigo kama la marekani [emoji2959]

Wivu wa maendeleo Kwa wagen utadhan waliambiwa wao wasifanye kazi [emoji2959]
 
Back
Top Bottom