kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jan 17, 2025 #21 Mjo umegoma kipigwa PICHA? KAZI ni kipimo cha UTU
K Kingmbusel Member Joined Sep 9, 2024 Posts 31 Reaction score 57 Jan 17, 2025 #22 The Assassin said: Joburg sio mji wa kuishi binadamu. Mwaka jana nilifikia hotel moja maeneo ya Boksburg, 5 star hotel lakini mtu akapigwa risasi nje ya geti la hotel tu hapo kuna shopping mall mchana kweupe. Click to expand... wewe assassin utakuwa ulihusika
The Assassin said: Joburg sio mji wa kuishi binadamu. Mwaka jana nilifikia hotel moja maeneo ya Boksburg, 5 star hotel lakini mtu akapigwa risasi nje ya geti la hotel tu hapo kuna shopping mall mchana kweupe. Click to expand... wewe assassin utakuwa ulihusika
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Jan 17, 2025 #23 nakwede97 said: Cape town waliondoa uhai wa baba angu kipenzi wale watu nataman mungu awape pigo kama la marekani [emoji2959] Wivu wa maendeleo Kwa wagen utadhan waliambiwa wao wasifanye kazi [emoji2959] Click to expand... Pole mama pole sana
nakwede97 said: Cape town waliondoa uhai wa baba angu kipenzi wale watu nataman mungu awape pigo kama la marekani [emoji2959] Wivu wa maendeleo Kwa wagen utadhan waliambiwa wao wasifanye kazi [emoji2959] Click to expand... Pole mama pole sana
ozigizaga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 701 Reaction score 1,703 Jan 17, 2025 #24 Mtanzania2020 said: 51. Mbeya Click to expand... Karibu hapa pembeni ya Mwailubu kwenye nyama choma mkuu...
Mtanzania2020 said: 51. Mbeya Click to expand... Karibu hapa pembeni ya Mwailubu kwenye nyama choma mkuu...