M Mtotigite Member Joined Aug 11, 2009 Posts 40 Reaction score 3 Aug 5, 2010 #1 Wana jamvi katika kupitia pitia website mbalimbali nimekutana na hii inayotoa mitaji kwa watu wenye bussines plan zitakazopitishwa angalieni kama mtapata mambo ya kuwafaa huku;IFC Home
Wana jamvi katika kupitia pitia website mbalimbali nimekutana na hii inayotoa mitaji kwa watu wenye bussines plan zitakazopitishwa angalieni kama mtapata mambo ya kuwafaa huku;IFC Home
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,329 Reaction score 5,024 Aug 5, 2010 #2 Nimeichukua website na nitaipitia taratibu nione kilichomo.