Capital gain tax ni asilimia ngapi?

Capital gain tax ni asilimia ngapi?

Kodi ni Stamp Duty na Capital Gain​

Capital Gain:​

10% for resident individuals and entities​

20% for non-resident individuals and entities​

Stamp Duty: 1%
 
Kwa anayejua, assume umeuza nyumba millioni 100 , tuonyeshe Tax calculations mpaka final amount of tax atakayolipa muuzaji na mnunuzi
Habari ya kazi mkuu.
All taxes and fees after purchase of surveyed land in Tanzania.
1. 1% registration fee
2. 1% stamp duty
3. 80k approval fee
4. 40k manispaa
TRA
1. 3% Capital gain
2. Risiti ya ziro ziro(hii ni ile taarifa ya kuonesha kiwanja husika hakidaiwi kodi ya pango)
Ukumbuke bei itakayotumika kama msingi wa kodi ni ile iliyo juu baina ya bei ya kwenye mkataba ama ile iliyopo katika valuation report.

Karibu mkuu unipe hii kazi niifanye kwa gharama nafuu kama ipo Dar es salaam.
 
Pia ukumbuke hizo kodi, ushuru ama malipo mengineyo yoyote huwa ni makubaliano ya kimkataba kuwa nani anatakiwa kulipa. Huwa ni vema hii issue ikabakia kwa mnunuaji ili kuepusha mengineyo yanayoweza kutokea.
Mnapaswa kulijadili hili na kujaribu kuliamua mapema
 
Habari ya kazi mkuu.
All taxes and fees after purchase of surveyed land in Tanzania.
1. 1% registration fee
2. 1% stamp duty
3. 80k approval fee
4. 40k manispaa
TRA
1. 3% Capital gain
2. Risiti ya ziro ziro(hii ni ile taarifa ya kuonesha kiwanja husika hakidaiwi kodi ya pango)
Ukumbuke bei itakayotumika kama msingi wa kodi ni ile iliyo juu baina ya bei ya kwenye mkataba ama ile iliyopo katika valuation report.

Karibu mkuu unipe hii kazi niifanye kwa gharama nafuu kama ipo Dar es salaam

Je unapo uza nyumba ni tax ipi ambayo unapaswa kulipa muuzaje na je hii kitu capital gain tax huwa ni asilimia ngapi?asante.
 
Habari ya kazi mkuu.
All taxes and fees after purchase of surveyed land in Tanzania.
1. 1% registration fee
2. 1% stamp duty
3. 80k approval fee
4. 40k manispaa
TRA
1. 3% Capital gain
2. Risiti ya ziro ziro(hii ni ile taarifa ya kuonesha kiwanja husika hakidaiwi kodi ya pango)
Ukumbuke bei itakayotumika kama msingi wa kodi ni ile iliyo juu baina ya bei ya kwenye mkataba ama ile iliyopo katika valuation report.

Karibu mkuu unipe hii kazi niifanye kwa gharama nafuu kama ipo Dar es salaam.
Na je ka siyo surveyed land,ikiwa na leseni ya makazi tu?
 
Back
Top Bottom