Capitalism or Socialism

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Tanzania tungekuwa mbali sana kama tusingetupa sela yetu ya ujamaa. Pia sela ya ujamaa inafaida kubwa kwenye taifa ambalo ni changa kama mataifa ya Africa. Ujamaa unawezesha taifa kutumia rasimali watu kwa pamoja bila ubaguzi pamoja nakunufaika na kidogo kilichopo kwa kila mtu.(equal sharing of resources)
Ujamaa pia unakuza vijiji nakuwa kama miji pamoja nakukuza viwanda mjini na vijijini. Kupitia ujamaa taifa linakuwa kwa kasi na maendeleo yanapatikana kwa uwiano.
Ubepari(capitalism) nisawa nakucheza mchezo wangumi(boxing) bilanguzingatia vigezo vya heavy weight na light weight. Inawezekana vipi nchi kama Tanzania au Uganda kupambana kiuchumi na nchi kama USA au Germany. Kiukweli nivita ambayo hatutokuja kushinda. Unapoingia kwenye mchezo wowote nilazima kuwepo na mazingila yenye uwiano(fair game). Kupitia capitalism nchi nyingi za kiafrica tutachezewa rough game naniukweli usiopingika kuwa hakuna nchi Africa itakayo kuja kuifikia UK kimaendeleo hata kidogo. UK wako na reserve kubwa ya dhahabu wanayochukua Africa. Wanatumia hiyo dhahabu kukuza uchumi wao pindi unaposhuka. Hii nikutokana nakuwa tumeingia kwenye mchezo wakiushindani usio kuwa fair. Tunachezewa rough game kiuchumi sana. Tutabaki kuwa wasindikizaji.
Nchi kama China wanaongoza kwakuwa na vijiji tajili duniani. Hiyo yote nikutokana na ujamaa.
Nampongeza Magufuli kwakuchukua some elements za ujamaa(hapa kazi tu). Kupitia ujamaa kila mtu anafanya kazi. Through socialism you turn the human labour into an asset because every one becomes productive.

Vijiji tajili vya China vilivyotokana na ujamaa.

Queen of England tours the Gold Vault
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…