Cappuccino Man πŸ’•

Mimi tokea uniache na ist yangu na kuifata ford ranger bhasi nmekuwa mtu wa kutoa likes

Lee......

Acha kunichokoza...

Mbona mie mwenyewe naburuza bajaji?!!

Ila unanisingizia, mbona sijawahi igwaya ist..!?
 
Reactions: Lee
Lee......

Acha kunichokoza...

Mbona mie mwenyewe naburuza bajaji?!!

Ila unanisingizia, mbona sijawahi igwaya ist..!?
Kumbuka pale ubungo flyovers
 
Kasie ...the first time i saw your face , by Roberta flack
Sujawahi kukuangushaaaaa
enjoy thisπŸ˜ƒ
 
Kasie Matata winding up 2021

We will miss these!

Aaahahahahahaaaaaa

Am not dying banaaa πŸ˜…πŸ˜…

Au mna mpango wa kunifungia nisionekane humu ...!?
 
Kumbuka pale ubungo flyovers

Aahahahahaaa nakumbuka,

Lee acha uchokozi banaa...πŸ˜…πŸ˜…

Utanifanya mithibutu buree 😜.
 
Reactions: Lee
Ukiwa na mke kama Kassie siku zote utaenjoy maisha ya ndoa. Hata libido itakuwa inaongezeka kwa kasi sana. Muda wote utatamani uwe nawe kila sehemu.

To be honestly fair, you are my dream woman.
 
Mhaya aliezeekea mjini...taabu kwel kwel

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ngoja nikusemee kwa mtoto wa mama Bataringaya....

Baba Taibali njooo huku umuone huyu anatusema RRONDO
 
Ukiwa na mke kama Kassie siku zote utaenjoy maisha ya ndoa. Hata libido itakuwa inaongezeka kwa kasi sana. Muda wote utatamani uwe nawe kila sehemu.

To be honestly fair, you are my dream woman.

Joshy.....

Sio tuu bichwa....

Kisiii kimetuna... sijui kimevimbaa...😜😜😜

Thank you..

Najiona bonge la matirio aahahahahaaa.

Kusifiwa raha sana, πŸ₯‚.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi km bibi mwenye mahaba yake mjini, [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…