Cappuccino Man πŸ’•

Haya mambo nayaona kwenye drama za kikorea.hii yote imetokea bongo hii dia?
 
Kasie umeolewa?
[emoji4]

Nakujibu kwa maswali....

1. Ungependa niwe nimeolewa au niwe singo?

2. Wewe ni mgeni humu JF? Hujawahi kusikia/kusoma Habari za bi. Kasinde?

3. Wewe umeoa?

Mimi ni mmatumbi asilia 😜.
 
Nakujibu kwa maswali....

1. Ungependa niwe nimeolewa au niwe singo?

2. Wewe ni mgeni humu JF? Hujawahi kusikia/kusoma Habari za bi. Kasinde?

3. Wewe umeoa?

Mimi ni mmatumbi asilia [emoji12].
[emoji3][emoji3] Wamatumbi, wangoni , wayao na wakisi ni ndugu zetu.
 
Nakujibu kwa maswali....

1. Ungependa niwe nimeolewa au niwe singo?

2. Wewe ni mgeni humu JF? Hujawahi kusikia/kusoma Habari za bi. Kasinde?

3. Wewe umeoa?

Mimi ni mmatumbi asilia [emoji12].
Zamani zetu tumeishi umatumbini,,, - historia ya kabila langu
 
Kama ilivyo kwa Kasinde...
Leo ndo nimejua kuwa ni Kasinde
[emoji3] nilidhani ni jina la kingereza.

Mafiningo maana yake - nyota ya asubui. ( Ile nyota ya asubui huitwa Mafiningo)
Tunaamini ipo nyota moja tu asubui ambayo ni kubwa kuliko zote nayo ni ,,Mafiningo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…