~>>~ Capri Point ~<<~ The Erica Tossi Story...

mkuu umedanganya kidogo sehemu ambapo nyumba yako ilpo japo ni story. upande wa kushoto ukitoka tilapia hotel inafuata yatch club, hapo katikati hakuna nyumba ya makazi. mbele ya yatch club kuna mlima wa mawe na makaburi

Umenichekesha kidogo Mtanzania. Usiniambie unachukulia kuwa simulizi zima ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…