Moja kati ya viongozi jasiri kabisa kuwahi kutokea barani Afrika, kijana mdogo na mzalendo kwa Taifa lake na Afrika kwa ujumla; Capt. Ibrahim Traolè, Rais wa mpito wa Burkina Faso, amewaasa vijana wa Kiafrika ifikie mahali wajitambue (waache ujinga) na kujinasua dhidi ya ukandamizaji unaofanywa na mabeberu wakishirikiana na viongozi wao waliokosa uzalendo kwa nchi zao.
Vinginevyo wataishia kulalamika kila siku kwenye mitandao na kuwa ma-keybord warriors.
Nawatakia Jumapili njema.
Vinginevyo wataishia kulalamika kila siku kwenye mitandao na kuwa ma-keybord warriors.
Nawatakia Jumapili njema.