Africa kujikomboa na unyonyaji wa hawa mabeberu,inatakiwa waungane na wafanye mabadiliko kwa pamoja,huu unyonyaji waupinge wakiwa kitu kimoja,kwa rais mmoja mmoja ni kazi kubwa sana japo Traore ameanza vizuri,
Vita ya kiuchumi ni vita ngumu sana hasa ukiwa peke yako,leo hii Niger inataka kuvamiwa na waafrica wenyewe kwa maslaha ya hao mabeberu!