Capt. John Komba bado hana mbadala wake kwenye nyimbo za hamasa hajapatikana na pengine itachukua miaka mingi kutokea kama yeye

Capt. John Komba bado hana mbadala wake kwenye nyimbo za hamasa hajapatikana na pengine itachukua miaka mingi kutokea kama yeye

Captain komba level zile Ni kubwa Sana kwa kizazi hiki na kijacho
 
nikikumbuka zile nyimbo za maombolezo ya kifo cha nyerere
basi unakubari kuwa kuna watu wanakuwa wamejariwa hvyo VIPAJI
kana kwamba walikuja DUNIANI kwa ajiri ya kazi hiyo tu
 
Marehemu Komba hakuimba nyimbo za kusifia mgombea ama mwenyekiti wa chama zaidi ya kukisifia Chama.
Hawa wa sasa, wanamsifia mwenyekitj wa chama huku chama kikionekana kama kichaka cha watu kuuaga umasikini.
 
Kuhusu Capt. John Komba, hakuna mjadala! Yule jamaa alikuwa ni fundi kwenye utunzi wa nyimbo za matukio. Kuanzia nyimbo maarufu za CCM, na pia nyimbo za lile tukio la kifo cha Mwalimu mwaka 1999.
 
Back
Top Bottom