Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Ni balaa sana 😀😀😀
Mkuu really?Watu Wema, Wazalendo, wapenda Haki wamo Majeshini kwetu
Tujitokeze Kwa Wingi, Kwa kadiri tutakavyokua wengi, tutawapa sababu Wanajeshi Hawa kusimama na Wananchi!!.
View attachment 3483337View attachment 3483337
A1 maana yake ni ACTIVE SOLDIER.
Zile Kenge za Lumumba, zije na ngojera nyingine
Thibitisha na sura yake...natamani hii iwe habari ya kweliWatu Wema, Wazalendo, wapenda Haki wamo Majeshini kwetu
Tujitokeze Kwa Wingi, Kwa kadiri tutakavyokua wengi, tutawapa sababu Wanajeshi Hawa kusimama na Wananchi!!.
View attachment 3483337View attachment 3483337
A1 maana yake ni ACTIVE SOLDIER.
Zile Kenge za Lumumba, zije na ngojera nyingine
List ni ndefu sanaTwende kazi ukombozi huoooo...gang msoga nyonga woote na RA..