mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mpe marks captaiin anajua kuchagua??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauriTujifunze kuheshimu maisha binafsi ya watu
Hata wewe wapo watu wanakuona kituko lakini wanaheshimu aliekuchagua
Tatizo ya weusi wengi akiona ngozi neupe anaona basi hapo amefika. Ni mzuri kwake.. kwa wengine sisi ni Afadhali nibaki single kuliko kuchukua kitu kama hichoMpe marks captaiin anajua kuchagua??View attachment 1884118
Nasikia kazimia baada ya kugundua mkewe ana watoto 4 alimfichaMpe marks captaiin anajua kuchagua??View attachment 1884118
Mkuu nami nimeshangaa sana, mtu anapata wapi muda wa kumchunguza mwenzie ?, hii nchi itakwenda kweli ?.Tujifunze kuheshimu maisha binafsi ya watu
Hata wewe wapo watu wanakuona kituko lakini wanaheshimu aliekuchagua
[emoji23][emoji23] duh! Hadi nimehisi vibaya [emoji23][emoji23]Tujifunze kuheshimu maisha binafsi ya watu
Hata wewe wapo watu wanakuona kituko lakini wanaheshimu aliekuchagua
Kwani alikwambia amekupenda hata ukaanza kumsema hivyo? Munaboa nyinyi!!!!!Tatizo ya weusi wengi akiona ngozi neupe anaona basi hapo amefika. Ni mzuri kwake.. kwa wengine sisi ni Afadhali nibaki single kuliko kuchukua kitu kama hicho
Ukitoa ujinga wako wa ccm mengine unaakili.Kikubwa mbunye iwepo na iwe ya moto,mambo ya sura nzuri peleka miss brazil huko.