Captain Jack Sparrow

sijaona hip ,nmeona na in the stranger tides[emoji16]
Hivi unajua kuwa ikitaka kuielewa vizur na kuifaidi hiyo pirates of carribean sharti uanze kuangalia kuanzia ya kwanza?.... Au wewe umeangalia in strange tide tuh?
 
Hivi unajua kuwa ikitaka kuielewa vizur na kuifaidi hiyo pirates of carribean sharti uanze kuangalia kuanzia ya kwanza?.... Au wewe umeangalia in strange tide tuh?
nmeona hip curse
nikaona na stranger tides
 
Kabla ya kusoma comment na huu uzii Salute John Depp uwa namkubal huyu jamaa hasa kwny pirates of Caribbeans nyingn nying
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…