Captain Jack Sparrow

Jamani eeh! Punguzeni kutuwekea mavideo yenu, yaani kila mtu siku hizi kajambo kadogo tu anatupia video! Mnatumalizia MB! Khaa!
 
One of my best movies ukiacha the godfather..huwa sichokagi kuiangalia..ingawa namba nne sikuikubali sana labda sababu walibadilisha ratiba..
Ya mwaka huu ndio itakuwa balaa
 
William, tell me something: Have you come because you need my help to save a certain distressing damsel, or rather damsel in distress? Either one..... Hahahaaa Cap'n Jack Sparrow ni shidaaa
 
Hivi yale macho alipaka wanja au ni vip? Kwenye pirate.
 
William, tell me something: Have you come because you need my help to save a certain distressing damsel, or rather damsel in distress? Either one..... Hahahaaa Cap'n Jack Sparrow ni shidaaa
Mkuu avatar yako ya king julian ndiye character anayenifanya nitazame magadascar escape maana ananiachaga hoi.
 
Hivi yale macho alipaka wanja au ni vip? Kwenye pirate.
eye liner, ni makeup ile walimpaka
wenzetu makeup wanazingatia Sana Kama edit
wanatengeneza character Fulani, halafu wandizaini MTU anakua vile kwa kutumia makeup
na anavutia
 
Inaitwa Rango...Ndio ni animation nakumbka n ya mwaka 2012 ivi....kwenye hyo animation anapiga fix sana anajitamba aliua watu 7 kwa risasi 1
Hahahahaa, rango alikua mtu wa fix kinoma. alipoulizwa aliwauwaje Jenkin's brothers kwa risasi moja katika sound zake akasahau mtu wa 7, alipoulizwa vipi kuhusu mtu wa 7 akajibu eti huyo wa 7 alikufa kwa infection. Mpaka leo rango is my favourite animation, na nkiboreka tu naicheki
 
[QUOTmkuumagnifico, post: 19471953, member: 47832"]Mkuu hiyo ID yako imetokana na katuni ya dexter au?[/QUOTE]
Ndio mkuu ..imetoka na mapenzi ya kupenda kuangalia hiyo katuni enzi hizoo
 
Ndio mkuu ..imetoka na mapenzi ya kupenda kuangalia hiyo katuni enzi hizoo

Na mimi ni kati ya watu waliokuwa wanapenda kutazama hiyo cartoon enzi za utoto wangu nikiwaza na mimi ntakuwa na labolatory kama ya dexter
 
Kwanza kabisa Johnny Depp anasifika kwa kuweza kuvaa uhusika/wasifu wa watu mashuhuri katika historia. Ukitaka uamini jamaa anaweza angalia hizi movie zake
*Black Mass,
*Public Enemies,
*Blow,
*Fear and Loathing in Las Vegas (hii ndo utacheka kabisa kwa uwezo alioonesha kum'potray Hunter S. Thompson)

Kuna tetesi (sina uhakika ndo maana natumia neno "tetesi") jamaa mpaka leo hajawahi shinda tuzo ya Oscar. Kama ni kweli, naona na yeye ana kasumba kama ya DiCaprio, star mwenye uwezo sana ila aliechukua mda mrefu kushinda Oscars.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…