Captain Jack Sparrow

Sidhan..ila treller zake ajaonekana anaonekana jamaa flan wa Skyfal
Kilichodemekana ni kwamba atakuwepo ila hatakuwa na nafasi kubwa sana kwa character yake. Itafocus zaidi katika kudevelop other characters kama hio mpya ya Captain Salazar na zinginezo. Hii walitakaga kuifanya way back even before the Stranger's Tides waki'site reason mojawapo ni kuepuka kufanya the whole Pirates of the Caribbean franchise iwe dependant on a single character/one-man attraction. Ila tusubirie tutaona itakuwaje.
 
hivi movie nzima haiwezi kuwekwa hapa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] maana wengine kudownload kwenye internet hatuelewi
 
Nilikua nashangaa kwann hamkusema neno juu ya movie yake the rum diary [emoji2] jamaa walikua wanaweka pombe mochoni halafu wanaangalia TV kwa jirani hahahaaa pumbafu saana Johnny Depp, hata kwenye the tourist kafanya tofauti saana
 
Mm nlipenda saaana curse of black Pearl wakati wa usiku mwezi ukitokea wanageuka mafuvu asee walikuwa wanapigana kama nn sijui[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]mm napenda hio mikogo, hapo inapoanza
 
Rico anasema...fortunes are mere superstition s...king Julian anajibu...yethhh this stitions are super that's why you must listen to them..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
King Julien: You want me to play hide and seek with Lemmy?
Mort: Uh-huh. Is good idea. You like?
King Julien: I like. I can show you my seeking
technique and also my counting technique. I invented a few new numbers I think you will like.
[ Covers eyes]
King Julien: One, twolien, three-four-five-six-seven-eight-nine-ten, meleven...
 
Mm nlipenda saaana curse of black Pearl wakati wa usiku mwezi ukitokea wanageuka mafuvu asee walikuwa wanapigana kama nn sijui[emoji16][emoji16][emoji16]
Dead man Chest..napenda sana lilie Crew ya Dave jones..jamaa wapo kama Samaki vile..viumbe wa ajabu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dead man Chest..napenda sana lilie Crew ya Dave jones..jamaa wapo kama Samaki vile..viumbe wa ajabu
Hahaha na meli yao ile mara iwe submarine izame na mda mwingine meli kama kawaida[emoji23] [emoji23] .....ila mara ya kwanza asee nlikuwa siwakubali muonekano wao
 
Hahaha na meli yao ile mara iwe submarine izame na mda mwingine meli kama kawaida[emoji23] [emoji23] .....ila mara ya kwanza asee nlikuwa siwakubali muonekano wao
ile meli inaitwa the flying Dutchman chini ya captaincy ya Davy Jones aka pweza mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…